fredagen den 17:e maj 2013
måndagen den 13:e maj 2013
One way
kwenye maji yenye maji kati na chuma chenye maua ,mwendo songa mbele wanapoelekea wanakujuwa wao ,haimaanishi hawatofika bali kwa mtazamo wamefika ,sherehe furaha na vifijo yasiyotarajiwa yalitimia,vicheko nadharia ya kicheko,viumbe wenye mwenendo wa kuthamini , mbawa za Almasi upepo ulioambatana na Asali , lugha yenye neno moja mwelekeo wa ncha iliyo na lengo.Waliotamani hawakutamani ,wasiotamani wametamani,waliotaka kujuwa hawajajuwa ,wasiotaka kujuwa wamejuwa.........
©Mmbando Kennedys
©Mmbando Kennedys
måndagen den 6:e maj 2013
söndagen den 5:e maj 2013
onsdagen den 24:e april 2013
Uamuzi wa uongo.
UAMUZI WA WAONGO.
Kulazimisha kuelewa kipaji cha mwingine ni Ushetani lol.
Tunafanya sanaa kwani ni maisha Yetu ,Kuna wanaojaribu kuinuwa wasio wasanii Kuwa wasanii.
Sanaa ya kweli inaogopesha viumbe wasioishi kwenye maisha ya ukweli.
Eti mtu anafanya mazoezi kuwa J Biber :)
Maisha ya mtu yalisha pangwa.Msanii hufanya sanaa kwa ajali yake mwenyewe,hii hufirahisha Malaika,na Mwenyezi Mungu,Jahova,na mazingira yote kwa ujumla.
Mwamuzi wa sanaa ni msanii mwenyewe .
kuna wanaoshabikia vitu vyenye idadi nyingi kwenye mitandao na kuviita ni sanaa?
Huo imepelekea watu wengi barani Afrika wasiishi maisha kwenye Ardhi yao nzuri waliopewa na mwenyezi Mungu.
Kuweka Dunia nje ya Haki ni Ushetani .
Mtoto wa shetani anaishi Duniani,Akiwa na Kwato na urembo wa paja.
Amka amka usije Nichukia Bure
Kupenda sana maisha ya Dunia ni moja ya mtego wa Ushetani .
Tunaamini Mungu tunaamini kunamaisha bora zaidi ya haya ya Duniani.
WE ARE ARTST FROM KINGS,TELL ME WHO YOU ARE?
tisdagen den 23:e april 2013
Prenumerera på:
Inlägg (Atom)
Min blogglista
-
-
-
-
Mmbando Kennedy drawing1 vecka sedan
-
Don’t Miss Single Fare 3!3 månader sedan
-
Kony 20121 år sedan
-
-
-
sanaakennedy
You are wellcome to send any informations about art and design in this blogg. email: kmmbando@gmail.com



